Picha ya rapa Kendrick Lamar itatundikwa kwenye jengo la Senati la Marekani….


Picha ya rapa Kendrick Lamar itatundikwa kwenye jengo la bunge la Marekani kwa mwaka mmoja.
Picha ya Kendrick Lamar iliyoandikwa “Utmost Appreciation” imechaguliwa kwenye shindano la Congressional Art na kuruhusiwa kuwekwa kwa mwaka mmoja kwenye ukuta wa jengo la Senati mjini Washington D.C.
Scott Tipton congressman wa 3rd District ya Colorado alimpongeza mwanafunzi aliyechora picha hii “Congrats to @CHS1876 student Tiona Cordova for taking 1st in the 3rd District Congressional Art Competition with ‘Utmost Appreciation he wrote.
Kazi ya Ms. Cordova itaninginia kwneye U.S. Capitolkwa mwaka mmoja.
 

Comments