PICHA MPYA ZA SERENA WILLIAMS



Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams anategemea kupata mtoto wake wa kwanza, hizi picha mpya kwenye IG . Serena alivalishwa pete na mchumba wake Alexis Ohanian.
 

Comments