Wasanii wengi maarufu maisha yao ya kimahusiano mara nyingi huyafanya siri, na wengine hata wakijaliwa watoto ni vigumu kuwaona. Lakini kwa Rapa Mabeste na mkewe Lisa ni tofauti kidogo, mahusiano yapo wazi na yanaweza kukuhamasisha.
Ni kweli mahusiano yao yapo wazi, yanaweza kukuvutia kama yale ya Jay Z na Beyonce, couple inayotolewa macho zaidi duniani. Hapa chini nimeweka baadhi ya picha za wapenzi hawa wawili ili kuelewa dhana nzima ya ujumbe wangu kwako.


Mabeste na mkewe Lisa
Siku ya ndoa yao
Siku ya ndoa ya Jay Z na Beyonce
Mke wa Mabeste alipokuwa na ujauzito wa mwanao Kaylyn
Mke wa Jay Z alipokuwa na ujauzito wa mwanao Blue Ivy
Mabeste na mkewe wakifurahia mara baada ya kupata mtoto
Jay Z na Beyonce walipopata mtoto wao, Blue Ivy
Mtoko wa Mabeste na mkewe
Mtoko wa Jay Z na Beyonce
Mabeste na mkewe wakifurahia jambo
Jay Z na Beyonce wakifurahia jambo
Mabeste na mwanae Kendrick
Jay Z na mwanae Blue Ivy
Familia ya Mabeste
Familia ya Jay Z
Comments
Post a Comment