Skip to main content

Picha, Lil Wayne kwenye graduation ya mtoto wake Reginae Carter…..


Rapa Lil Wayne ameweka pembeni ziara yake ya muziki, ilikufika shuleni kwa mtoto wake wa kwanza Reginae Carter kwaajili ya Graduation yake.
Hii ni picha ya Lil Wayne na mtoto wake Reginae Carter ambaye mama yake niToya Wright.

Comments