Baada ya kuwa singe girl kwa zaidi ya mwaka mmoja, staa wa RnB Brandy ameanza mahusiano na rapa Sir the Baptist.
Brandy na Sir the Baptist wametajwa kuwa wapenzi na wamefanya colabo iliyopewa jina “Deliver Me” kwaajili ya album ya STB ‘Saint or Sinner‘.
Brandy ameonyesha picha IG akiwa na baby wake mpya.
Comments
Post a Comment