Baada ya kuisaidia Klabu yake kutwaa Kombe la Europa Jumatano ya wiki hii mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United, Paul Pogba ametua Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.
Pogba ambaye ni muislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani siku zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa na Klabu yake ndani ya mwezi mtukufu.Tazama picha za matukio mbalimbali za mkali huyo wa kutupia magoli
https://youtu.be/VIp9XoZ1jhg
Comments
Post a Comment