Mapaparazzi wamekutana na Nicki Minaj kwenye kiwanja cha ndege na kuzungumza naye kuhusu mlipoku wa bomu Manchester, Uingereza kwenye show ya Ariana Grande na kama bado anampango wa kuendelea kufanya show zake Ulaya.
Rapa huyu wa Young Money amegoma kufuta show zake na kusema ‘Hatuishi kwenye hali ya uwoga, nikifuta show zangu nikama kuwapa ujumbe magaidi kuwa wameshinda, mimi ni mwanamke mwenye nguvu“.
Nicki Minaj alikuwa msanii wa kwanza kumpa pole Ariana Grande,
Comments
Post a Comment