NICKI MINAJ AONYESHA PICHA TATA

Ata baada ya kuachana na Meek Mill , rapa wa Young Money Nicki Minaj amesema mwaka 2017 ni mwaka mzuri tu kwake na mambo kibao yanakuja kutoka kwake….
Nicki Minaj hivi karibuni alitajwa kuwania tuzo ya msanii bora wa kike wa hiphp kwenye tuzo za BET 2017
Ujumbe huu upo kwenye IG ya staa huyu wa hiphop huku akijipa jina jipya #MONSTER…..




 

Comments