Mwigizaji kutoka India Deepika Padukone amesema angependa kuwa mpenzi wa Vin Diesel.
Kwenye show ya Ellen,Deepika Padukone amesema “Kwenye kichwa changu mimi na Vin tuko na familia yetu, tuna watoto na ni mke na mume, tunaishi pamoja“.
Vin Diesel amekuwa kwenye harakati za kusimamisha kipaji cha Deepika Padukone Hollywood kwa kumtafutia filamu kubwa za kuigiza na dili zingine kubwa kama mwigizaji kutoka India.
Deepika ni miongoni mwa waigizaji wa kike duniani anayelipwa zaidi.
Comments
Post a Comment