Marcus Rashford; nimefurahi kupata imani ya Jose Mourinho.


Mchezaji wa Man Utd Marcus Rashford anajisikia furaha baada ya kuaminika zaidi na meneja wa klabu yake Jose Mourinho.
Zlatan Ibrahimovic akiwa anauguza goti lake baada ya upasuaji,, Rashford amepewa jukumu la kufunga magoli na kuwapa ushindi timu hio.
Marcus Rashford amedhibitisha kuwa na uwezo wa kubeba mikoba ya Zlatan baada ya kuokoa Man Utd kwenye Europa League semi-finals dhidi ya Celta Vigo.

Comments