Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita mwaka 2017 kutoka Shule zote za Tanzania Bara ambao watahudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
JKT imepangia Makambi kwa wanafunzi hao ambako watapatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu wakitakiwa kuripoti kuanzia May 25 – 30 2017.
Comments
Post a Comment