LIVE: JPM amkaribisha Rais Zuma wa A. Kusini, IKULU DSM


Leo May 11, 2017, Rais JPM anakutana na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, IKULU, jijini Dar es Salaam katika ziara rasmi ya Rais huyo nchini.
Rais Zuma atakuwa nchini kwa ziara ya siku tatu yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini ambapo anatarajia pia kushiriki Mkutano wa Wafanyabiashara, kuzindua Jengo la Ubalozi wa Afrika Kusini nchini na kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.

Comments