Lil Wayne kutumia mahakama kuzuia Carter V kuvujishwa na ……..


Young Money rapa Lil Wayne ameahidi kumfikisha mahakamani Martin Shkreli kama atavujisha album yake ya “Tha Carter V” mtandaoni.
Mawakili wa Lil Wayne na Universal Music wameomba mahakama iwape barua za kusachi na kukomboa muziki wowote wa Lil Wayne ulionunuliwa kwa njia za kihalifu na Shkreli
Martin Shkreli alianza tabia hii ya kuvujisha kazi za Wayne kutoka kwenye album ya Carter V mwaka jana, mwaka huu amevujisha jina la colabo ya Lil Wayne na Kendrick kwenye album hio kuwa ni Christmas.
Inasemekana Shkreli anafanya hivi kwaajili ya KIKI tu.
Billionaire Martin Shkreli

Comments