Lil Wayne ameonyesha kutokuwa na kinyongo na watoto wa Birdman baada ya kupiga nao picha bili tatizo lolote.
Picha hizi zimewkwa mitandaoni na baba yao Birdman zikiwa na ujumbe “#4L #BLOODLOVE.”
Pamekuwa na tetesi kuwa Birdman alikuwa ndani ya chumba hicho na kwamba wamekutana na Lil Wayne ila mpaka sasa hakuna ushahidi wa tukio hilo.
Comments
Post a Comment