Pop staa Selena Gomez kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya mahusiano yake na msanii mkubwa w amuziki duniani The Weeknd.
Selena anasema “Mimi ni yule binti ninayependa sana,kupitiliza, natoa moyo na roho yangu kwa mtu ninaye mpenda, ndio nilivyo tu na hivyo vitu ni vikubwa sana kwenye mahusiano“

Comments
Post a Comment