Klabu ya Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa Kocha wao Mpya…


Klabu ya Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde,53 kuwa Kocha wao Mpya. Kocha huyo wa zamani wa Athletic Bilbao amekuja kuziba pengo la Luis Enrique.
Ernesto Valverde amepewa mkataba wa miaka miwili akiwa na dirisha la kuongeza watatu.

Comments