Kikosi cha Twiga Stars chatangazwa

Kikosi cha timu ya  Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’  kimetangazwa rasmi hii leo. Kocha mkuu wa Twiga Stars Sebastian Nkomwa ametaja kikosi cha wachezaji 45 ambao wataingia kambini tarehe 21 ya Mei 2017.

Katika hatua nyingine, Tanzania itashiriki michuano ya Kombe la Cosafa Castle nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 25 mwezi ya mwezi ujao.

 

Comments