Nicki Minaj ametumia IG yake kutuonyesha baadhi ya kazi za kijamii anazofanya nchini India.
Kupitia pesa anazomtumia mchingaji Lydia Sloley, kijiji kimoja India kimeweza kupata shule ya computer, shule ya kujifunza kushona, shule ya kusoma na visima viwili vya maji safi.
Ukiacha misaada hio, Nicki Minaj amekuwa akitoa pesa kutatua matatizo tofauti kwenye kijiji hicho.
Comments
Post a Comment