Kwenye #KikaangoniEATV Msanii wa filamu maarufu Tanzania Jacqueline Wolper amemtaja msanii wa kiume anayempenda Tanzania ila kumwambie hawezi…
Wolper amemtaja rapa kutoka Arusha Joh Makini, hit make wa ngoma kama #Waya na #PerfectCombo
Unaichukuliaje Couple Ya Wolper na Joh Makini ?
Comments
Post a Comment