West Coast MC Ice Cube ametangaza rasmi ujio wa filamu ya muendelezo wa filamu zake za FRIDAY.
Kwenye interview mpya Ice Cube amesema “We’re working on one right now, We’re gonna call it Last Friday.” >> ‘Tumeanza kuifanyia kazi sasa na tutaiita LAST FRIDAY‘
Last Friday ni muendelezo wa Friday ya mwaka 1995 , Friday ya 2000 Next Friday na 2002 Friday After Next.
Jason Derulo alikuwa kwenye show hio nakusema FRIDAY Ni miongoni mwa filamu zake bora zaidi.
Comments
Post a Comment