Finaly Dj Khaled amepata colabo ya Rihanna.
Imekuwa stori kubwa baada ya Dj Khaled kudhibitisha kuwa amezipata sauti za Rihanaa kwaajili ya colabo ya Dj Khaled Ft Rihanna na wasanii wengine wakali kwenye album yake mpya.
“THEY SAID KHALED CANT GET @badgalriri Vocals,” he wrote on Instagram. “Tell THEY I SAID HI !!!!! @badgalriri VOCALS IS IN !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!l GOD IS THE GREATEST !!!!!!!!!!!!!!!!”
Wasani wengine kwenye album hii ni pamoja na Beyoncé, Jay Z ,Lil Wayne, Chance the Rapper, Justin Bieber,Migos’ Quavo, Drake, Nicki Minaj, Nas, na Travis Scott
.
Imekuwa stori kubwa baada ya Dj Khaled kudhibitisha kuwa amezipata sauti za Rihanaa kwaajili ya colabo ya Dj Khaled Ft Rihanna na wasanii wengine wakali kwenye album yake mpya.
Khaled amedhibitisha kuwa amezipata sauti hizi na kwamba Rihanna atakuwepo kwenye album yake mpya #GrateFul
Did the Rihanna vocals come in yet? According to DJ Khaled, the answer is yes.“THEY SAID KHALED CANT GET @badgalriri Vocals,” he wrote on Instagram. “Tell THEY I SAID HI !!!!! @badgalriri VOCALS IS IN !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!l GOD IS THE GREATEST !!!!!!!!!!!!!!!!”
Wasani wengine kwenye album hii ni pamoja na Beyoncé, Jay Z ,Lil Wayne, Chance the Rapper, Justin Bieber,Migos’ Quavo, Drake, Nicki Minaj, Nas, na Travis Scott
.
Comments
Post a Comment