Filamu mpya ya ‘Wonder Woman’ kutoka mwezi Juni

Zikiwa zimebaki wiki tatu kabla ya kuachiwa kwa filamu ya Wonder Woman trela yake ya mwisho kabla ya kuingia mtaani imeachiwa rasmi.

Trela ya Wonder Woman iliachiwa usiku wa tuzo za MTV Movie and TV Awards, ikiwa imeongozwa na Director Patty Jenkins, ambaye amesema kuwa ifikapo Juni 2 mwaka huu, wanatarajia kuitoa.

Comments