Hivi karibuni msanii Dogo Janja amekuwa akijipigia upatu kuwa yeye ndiye msanii anayeogoza kwa kuvaa hapa Bongo.
Msanii huyu amepost ujumbe instagram ulioashiria muendelezo wa tambo zake “uwezo wao wa kuvaa upo chini zaidi ya Soksi zangu,” aliandika Dogo Janja.

Comments
Post a Comment