Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametoa ujumbe wake kwa mama watoto wake Zari The Boss Lady nakuasema #Zari ameacha starehe za dunia na kunilelea watoto….
Kupitia IG Yake Diamond Platnumz ameandika…… “Kupata mtu wa kuzaa nae inaweza isiwe tabu sana ila kupata Mwanamke atae kubali kuacha stareh zote za dunia na kukulelea watoto ipaswavyo sio kitu rahisi…. kazi yangu imejawa na vishawishi vigi sana, wakati mwingine napatia wakati mwingine nakukosea lakini siku zote umekuwa mwenye kunielekeza nikoseapo na sio kunihukumu…na ndiomaana siku zote chochote ukitakacho nikiwa nacho lazma nikupe pengine itanisaidia kukuelezea ni kias gani nakupenda na kukuthamini…. Happy Mother’s Day @zarithebosslady ”
Diamond na Zari wana watoto wawili Tiffa na Nillan…..

Comments
Post a Comment