tasnia ya muziki Tanzania imejawa na huzuni baada ya kutangazwa taarifa za kifo cha Mwimbaji Dogo Mfaume aliyefariki akiwa Muhimbili Hospital ambako alitarajia kufanyiwa upasuaji wa kichwa.
Kutokana na kusambaa kwa taarifa hizo za majonzi ambazo zimegusa hisia za watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa muziki, watu hao wameelezea masikitiko yao kupitia social media wakiongozwa na mastaa Diamond Platnumz, Nay wa Mitego na wengine…
Msanii Diamond Platnumz ameandika “RIP CHAMP!”
Nay wa Mitego naye akaanidka “R.I.P”
Mtangazaji wa Clouds FM Geah Habibu naye aka-repost maneno ya Dahuu: “Tunasema Inna lillahi wainna ilayh raajiuun. Msanii Dogo Mfaume amefariki dunia mchana wa leo. Taarifa zaidi mtaendelea kufahamishwa.”
Afande Sele akaandika:

MSIBA: Dogo Mfaume wa ‘kazi ya dukani’ amefariki…
Comments
Post a Comment