Desiigner aomba msamaha radio za New York baada ya matusi makali….


Rapa Desiigner aomba msamaha radio za New York baada ya kutoa povu kali kwaokutokana na kukosa promo.
Rapa wa G.O.O.D Music Desiigner ameomba msamaha kwa radio za New York baada ya kutoa matusi makali mwezi wa nne kutokana na kukosa promo ya wimbo wake ‘Tiimmy Turner’.
Desiigner aliandika twitter “f-ck NY radio” na sasa amesema ni kutokana na kuwa wimbo wake wa ‘Tiimmy Turner’ haukuwa na mafanikio kama ‘Panda‘ iliyoshika namba moja kwenye chati za billboard.
 

Comments