Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido ameonyesha kujiamini sana huku akitegemea kurudia tena kushinda tuzo ya BET ya Msanii Bora wa Kimataifa Kutoka Africa,
Kwenye Twitter yake star huyu anasema hili litajirudia “COMEBACK SEASON!!!!! I WON THIS BACK IN 2014 !!
Kipengele hichi kimetajwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na mafanikio ya wasanii kama WziKid, Davido, Tekno Miles ambaye amefululiza kwa HITS kubwa ndani ua miaka miwili….
Best International Act: Africa
AKA (South Africa)
BABES WODUMO (South Africa)
DAVIDO (Nigeria)
NASTY C (South Africa)
STONEBWOY (Ghana)
TEKNO (Nigeria)
WIZKID (Nigeria)
MR EAZI (Nigeria)
Comments
Post a Comment