Ciara na mume wake Russell Wilson wamepata mtoto wa kike wiki hii. Mtoto huyu ambaye ni wa kwanza kwa Russell na wapili kwa Ciara amepewa jina ‘Sienna Princess Wilson’
Sienna Princess Wilson amezaliwa Ijumaa ya April 28, Cici na Russell wameandika ujumbe huu kwa mtoto wao baada ya kuzaliwa.
“Dear Sienna Princess Wilson, No matter how big the wave, we will always be your calm in the storm. We Love You. Love, Mommy & Daddy. 7:03 pm 7 lbs 13 oz. 4.28.2017 Photo By Daddy ”
Ciara ana mtoto wa miaka miwili na rapa Future ‘Future Zahir’

Comments
Post a Comment