CHALLI WA JAMBO SQUAD AFUNGA NDOA

Msanii kutoka kundi la Jambo Squad la Jijini Arusha, Chalii ya Jambo a.k.a Mtoto wa Bibi, mwishoni mwa juma lililopita aliamua kufunga pingu za maisha na tumekusongezea baadhi ya picha kutoka kwenye sherehe yao.

Comments