Beef, Tyga VS Amber Rose, Diss ya Amber Ni Nomaaa……


Leo 6:06 AM – 18 May 2017 Beef limeibuka kati ya rapa Tyga na video model maarufu Amber Rose ambaye ni rafiki kipenzi wa Blac Chyna Ex wake Tyga.
Kupitia twitter ya Amber Rose, model huyu ameweka ujumbe wa kuponda muziki wa Tyga na kusema umekuwa kama uchafu toka ameachana na Blac Chyna.
Twit ya Amber Rose@DaRealAmberRose Inasema “Dear @Tyga ever since you left @BLACCHYNA your music has been ‘TRASH’ it’s always been trash just more than usual. #muva

 

Comments