Baraka The Prince haukubali wimbo wa Ben Pol, aeleza sababu

Related image
Baada ya Mwimbaji wa R&B Ben Pol kuachia wimbo mpya ‘Tatu’ akimshirikisha Darassa, mapokezi ya wimbo huo yamekuwa ya hisia tofauti hasa baada ya picha za staa huyo alizopiga akiwa bila nguo kuwa gumzo mitandaoni zikidaiwa kuwa ni promo kwa ajili ya ujio wa wimbo huo.
Miongoni mwa walioupokea kwa hisia tofauti wimbo huo ni pamoja na Mwimbaji Baraka The Prince ambaye ametoa maoni yake akidai amekuwa disappointed sana na wimbo huo wa Ben pol kwa kuwa hakudhani kama ungekuwa wimbo mkubwa.

Comments