Arsenal hamuendi UEFA sababu hamjaulamba – Ommy Dimpoz

Baaada ya kumalizika mchezo kati ya Manchester United na Ajax, na Man United kutwaa ubingwa wa UEFA Europa League, mastaa wale mashabiki wa Man United wamekuwa na utani wa hapa na pale huko Ommy Dimpoz akiwatania mashabiki wa Arsenal kuwa msimu ujao hatakuwepo kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) kwa sababu hawajaulamba, yaani kupendeza.
Ommy Dimpoz

Comments