Video Vixen maarufu Amber Rose amekanusha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapa Future baada ya kuonekana kwenye video yake mpya #MaskOff.
Kuhusu kutokea kwenye video ya Future ili kufunika alichowahi kufanya Blac Chyna kwenye video nyingine ya Future, Amber amesema rafiki yake Chyna anaelewa hii ni kazi tu na ni sehemu ya kutengeneza pesa na sio mashindano na yeye.
Vixen Amber Rose hivi karibu alikuwa karibu sana na French Montana huku picha zao instagram zikizua gumzo kuwa ni wapenzi.
Comments
Post a Comment