Kiumbe wa anga
Wataalamu wa masuala ya sayansi wanaotafuta maisha katika anga za juu watahitajika kusubiri zaidi
Mradi huo wa gharama ya dola milioni 100 wa kutafuta dalili za viumbe wa anga za juu bado haujapata chochote mwaka mmoja baada ya kuzinduliwa.Wanasayansi walitoa visa 11 ambavyo vilitarajiwa kuonyesha dalili za maisha angani lakini tena wakaamua kuwa vilitoka kwa binadamu
Prof Stephen Hawking anasema kuwa huenda kuna maisha katika anga za juu
Mradi huo ni wa miaka kumi unaoungwa mkono na watu kama Prof Stephen Hawking.
Darubini hii iliyo West Virginia, Marekani ni moja ya darubini zenye nguvu zaidi duniani
Mwaka uliopita mradi huo ulifuatilia nyota kwa jina Tabby ambayo ilikuwa na tabia iliyosababisha watu wafakiri kuwa ikuwa na maisha.
Kiumbe kama huyu anatafutwa
Comments
Post a Comment