Jackline Mengi
Good news nyingine leo ni hii ya tuzo mbili za ubunifu alizopewa Mtanzania Jacqueline Mengi ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 na sas ameamua kuwa mfanyabiashara wa Furnitures za kisasa zinazobuniwa kwa kiasi kikubwa hapa hapa Tanzania.
Jacqueline ametunukiwa tuzo hizo mbili kutoka Italy zikiwa ni za Furnitures zenye ubunifu wa kipekee na Taa zenye utofauti.
Comments
Post a Comment