T.I ASEMA 2PAC ANGEKUWA MWANASIASA KAMA ANGEKUWA HAI



Rapa Clifford Harris aka T.I. ambaye alikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa heshika kwa kuvaa na kuimba nyimbo za Tupac Shakur wakati staa huyu anapewa heshima yake ya Rock and Roll Hall Of Fame ceremony anasema Pac angekuwa mwanasiasa kama angekuwa hai mpaka leo.
Akiongea na Billboard T.I “Chochote kingewezekana kwenye maisha ya Pac kutokana na upeo wake, alikuwa anafikiria nje ya box, angekuwa mwanasiasa kwa sasa”…
T.I ni iongoni mwa wasanii waliopata ushawishi wa kufanya muziki kutoka kwa 2 Pac…

Comments