SHARAPOVA AREJEA UWANJANI KWA USHINDI

Sharapova
Maria Sharapova akishangilia ushindi katika michuano ya wazi ya Stuttgat

Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi kumi na tano akitumikia kifungo cha kutokana na kutumia dawa zilizokatazwa michezo Maria sharapova ameanza vyema michuano ya wazi ya Stuttgat.
Akicheza mchezo wake wa kwanza Sharapova amepata ushindi wa seti mbili dhidi ya mpinzani wake Roberta Vinci katika seti ya kwanza alishinda kwa 7-5, na seti ya pili akishinda kwa 6-3.
Nae mwingereza Johanna Konta alimshinda Naomi Osaka wa Japan kwa kwa seti mbili ya kwanza akishinda kwa 7-6 kisha akapoteza kwa 3-6 na kumaliza na ushindi wa 6-1.

Comments