Nyumba ya Drake imevamiwa na shabiki mwenye shauku kubwa ya kukutana na kuongea na staa huyu.
Ripoti ya polisi inasema shabiki huyo amevaa nguo za Drake na kulala kwenye kitanda chake, pia ameiba maji na soda na vyenye thamani ya dola 10 ambazo ni 25000 za Tz.
Mtandao wa udaku nchini Marekani umeriboti kuwa shabiki huyu hauiwa na mpango na vitu vya thamani vya Drake ila amevaa nguo za Drake za aina tofauti , haswa pajamaz na boxer zake….
Mpaka sasa Drake amekata kuthibitisha uvamizi huu ulitokea kwenye nyumba ipi kati ya iliyopo Calabasas au kwao Toronto Canada.
Comments
Post a Comment