SERENA WILLIAMS NA MCHUMBA WAKE ALEXIS OHANIAN KUPATA MTOTO WAO WA KWANZA


Mcheza tennis wa kike namba moja duniani Serena Williams ameripotiwa kuwa na ujauzito baada ya kuonyesha ‘Tumbo la mtoto’  ‘baby bump’.
 
Taarifa hizi zimeanza kusamba baada ya Serena kuonyesha picha kwenye mtandao wa Snapchat inayoonyesha tumbo lake na kuandika ‘Wiki 20’.
Pia rafiki wa karib wa Serena anasema mshkaji wake kwa sasa anakunywa maji tu na sio Wine kama kawaida yake.. “she TWICE made toasts … by drinking water instead of wine, highly unusual toast with anything but a full glass of wine.
Kama kweli basi mtoto huyu atakuwa ni wa mchumba wa Serena , bwana Alexis Ohanian ambeya amekuwa naye toka December 2016 na kumvalisha pete ya uchumba january mwaka huu….
 

Comments