RIHANNA ALIVYOMKUMBUKA 2PAC KWA MCHORO HUU KWENYE MWILI WAKE


Rihanna ametoa heshima zake kwa 2 Pac kwenye show ya Coachella kwa kuchora maneno Thug Life kwenye tumba lake kama alivyofanya 2 Pac wakati wa uhai wake.
Kwenye picha hii yupo Snoop Dogg na Warren G ambao pia walifurahishwa na mapenzi hayo ya Rihanna kwa 2 Pac



Comments