PICHA YA JUMBA LAKIFAHARI ANALOISHI JENIFER LOPEZ NA MPENZI WAKE A-ROD


Jennifer Lopez na mpenzi wake A-Rod wamefanya maamuzi makubwa ya kupanga nyumba pamoja. TMZ wameripoti kuwa jumba hilo la kifahari linakodishwa kwa dola 10000 kwa usiku mmoja ambazo ni zaidi ya milioni 25 za Tanzania.
Jumba hili walilohamia J Lo na A-Rod lipo mtaa mmoja na nyumba ya Ex wa J Lo muimbaji Marc Anthony.
J Lo na Alex Rod wamekuwa kwenye mahusiano kwa zaidi ya miezi mitatu kitu ambacho kimefanya mashabiki wa shangazwe na uamuzi wao wa kuhami nyumba moja mapema hivi.

Comments