MWANAMITINDO LAYLA LACE ANASEMA DRAKE APOKEI SIMU WALA KUJIBU SMS BAADA Y AKUMWAMBIA ANA UJAUZITO WAKE
Mwanamitindo Layla Lace ameingia mitandao kulalamika kuwa rapa Drake anamkwepa baada ya kumpa taarifa kuwa anaujauzito wake.
Drake ambaye ametoa album mpya hivi karibu ni More Life anatajwa kuwa baba wa mtoto wa Layla Lace.
Ujumbe wa mwisho wa dada huyu kwa Drake ulikuwa “F**K YOU Drake !!! You and I know i was good to you !!!,”
Comments
Post a Comment