MCHEKESHAJI STEVE HARVEY ASEMA RAIS DONALD TRUMP ATIMIZA AHADI YAKE



Mchekeshaji maarufu Steve Harvey ambaye pia hufanya kazi na Rais Donald Trump amesema rais huyo wa Marekani anatimiza ahadi zake.
Steve Harvey alikutana na mapaparazzi wa TMZ na kusema ndani ya hii miezi mitatu ameweza kutimiza ahadi yake ya kushughulikia makazi kwa raia wenye kipato cha chini wasioa na makazi ya kuishi sehemu tofauti Marekani.
Steve Harvey alikutana na mitazamo hasi mwanzoni mwa mwaka huu baada ya kukutana na Rais Trump anayepingwa zaidi na watu weusi nchini Marekani.

Comments