Kendrick Lamar ni habari nyingine kwa sasa – Rapper huyo amefanya jingine kubwa baada ya kufanikiwa kumfunika Drake kwenye mauzo ya albamu yake mpya ‘DAMN’ katika wiki yake ya kwanza sokoni.
Wimbo wake wa ‘Humble’, ambao unapatikana katika albamu yake, umefanikiwa kushika namba moja kwenye chati za Billboard Hot 100, na kuishusha “Shape of You” ya Ed Sheeran iliyokaa katika nafasi hiyo kwa wiki 12.
Katika nyimbo kumi bora ya chati hizo Kendrick amefanikiwa kuingiza nyimbo mbili ambazo ni ‘Damn’ na ‘DNA’. Hii ndio orodha ya nyimbo kumi bora kwenye chati za Billboard Hot 100.
1. Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
2. Ed Sheeran – “Shape of You”
3. Bruno Mars – “That’s What I Like”
4. Kendrick Lamar – “DNA.”
5. Future – “Mask Off”
6. KYLE feat. Lil Yachty – “iSpy”
7. Zedd feat. Alessia Cara – “Stay”
8. The Chainsmokers feat. Coldplay – “Something Just Like This”
9. Luis Fonsi feat. Daddy Yankee & Justin Bieber – “Despacito”
10. Lil Uzi Vert – “XO TOUR Llif3”

Comments
Post a Comment