HARMONIZE ANUNUA BASTOLA KWA USALAMA ZAIDI



WCB super staa Harmonize amekuwa miongoni mwa wasanii wa bongo fleva wanaomiliki silaha za moto. Kupitia instagram yake Harmonize ameonyesha mguu wa kuku anaotumia kujilinda na kuandika “SOMETIMES IT’S GOOD TO BE PROTECTED WCB super staa Harmonize amekuwa miongoni mwa wasanii wa bongo fleva wanaomiliki silaha za moto. Kupitia instagram yake Harmonize ameonyesha mguu wa kuku anaotumia kujilinda na kuandika “SOMETIMES IT’S GOOD TO BE PROTECTED

Comments