Baada ya kutoa album yake ya tisa Rapa Rick Ross ametajwa kuwa na beef na wasanii wa Young Money kama Birdman, Lil Wayne na Nicki Minaj baada ya kuwachana kwenye nyimbo zake.
Leo 19 April 2017 , Rozay ameonekana akiwa na Lil Wayne kwenye eneo linalotajwa kuwa ni studio ya nyumbani na kunatetesi wanatengeneza rekodi pamoja.
Picha imethihirisha wazi kuwa mamp ni salamakati ya Wayne a Rozay, Birdman na Minaj Je…..
Comments
Post a Comment