DMX ASHINDWA KUFANYA VIZURI STEJINI

DMX, Rapper kutokea kundi la Ruff Ryders ameshindwa kufanya show weekend hii kwa kiwango chake cha kawaida kutokana na hali yake ya afya kuzidi kudhoofika



Show hiyo ambayo ilifanyika katika Ukumbi wa Barclays Center-Brooklyn, ilikuwa ni show kubwa kwa kundi la Ruff Ryders wakiwemo DMX mwenyewe, Eve, Swizz Beatz, Drag-On & The Laox.


Kuzorota kwa afya ya DMX, ni kutokana na matumizi ya pombe kali na dawa za kulevya.
DMX alirap pole pole na kupumzika sana, Mashabiki waliokuwa karibu na jukwaa wanasema DMX alionekana kama amelewa dawa ya kulevya au alikuwa mgonjwa wakati anafanya show

Comments