BANGI NI MUHIMU KWA MARASTA WA KITANZANIA

Image result for MARASTA MAN WAKIVUTA BANGI

Eneo la Afrika mashariki vita dhidi ya maatumizi ya dawa za kulevya vinapamba moto kila uchao.
Huko nchini Tanzania watu wenye imani ya kirasta, bangi ni kitu muhimu sana kwao, huku wakiamini matumizi ya bangi ni sakramenti kuu katika ibada zao.
Image result for MARASTA MAN WAKIVUTA BANGI
Mmoja wa marasta Juma Rashid ameieleza  Hotmixmziray kuwa bangi ni muhimu kwa watu wenye kariba ya kirasta ambayo inawafanya kuwa kitu kimoja na kuwafanya wawe na uhuru na nguvu katika maamuzi yao au katika mambo wanayoyafanya.

Comments