January 5 2017 kiungo wa zamani wa timu ya KRC Genk ya Ubelgiji Wilfred Ndidi alitambulishwa rasmi na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England Leicester City kama mchezaji wao mpya, Ndidi amejiunga na Leicester City akitajwa kuwa mbadala sahihi wa Ng’olo Kante aliyejiunga na Chelsea.
Ndidi ameripotiwa na mitandao kadhaa ya England kuwa amesajiliwa kwa dau la pound milioni 15, baada ya Ndidi kutambulishwa mtanzania Mbwana Samatta ambaye alikuwa anacheza nae katika timu ya KRC Genk na mjamaica Leon Bailey walitumia account zao za instagram kumuandikia ujumbe wa kumtakia kila la kheri.
“Goodluck in Leicester city bro, you deserve to be where you are today, stay humble and keep focus, your my big son and I love you so much 😂❤” >>> Bailey
“wish you all best and lot of success” ” Dididon” we gonna miss you around” >>> Samatta
Comments
Post a Comment