TFF YAMTEMA MKWASA

Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa.
Image result for PICHA ZA KOCHA MKWASA
Chalres Boniface Mkwassa

Taarifa hivi zimethibitishwa na rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter. Jamal Malinzi ametoa taarifa hiyo kwa kuandika,“Mkataba wa TFF na Kocha Mkwassa,kwa makubaliano,umefikia mwisho leo.Salum Mayanga ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Taifa Stars.”


Comments